Sunday, January 30, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII....

Ee Bwana Mungu wetu, utujalie kukuheshimu kwa moyo wetu wote, na kuwapenda watu wote kwa mapendo ya kweli.

Ee Bwana Mungu wetu, utuokoe, utukusanye kwa kututoa katika mataifa, tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shangwe sifa zako.

Heri walio maskini wa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri wenye upole; maana watairithi nchi.

-JUMAPILI NJEMA SANA KWENU NYOTE!

No comments:

WATEMBELEAJI