Sunday, January 30, 2011

NINAIPENDA SANA INJILI HII YA MATAYO...AMBAYO INASEMA;

Heri walio maskini wa roho;
- Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Heri wenye huzuni;
- Maana hao watafarijika.
Heri wenye upole;
- Maana hao watairithi nchi.
Heri wenye njaa na kiu ya haki;
- Maana hao watashibishwa.
Heri wenye rehema;
- Maana hao watapata rehema.
Heri wenye moyo safi;
- Maana hao watamwona Mungu.
Heri wapatanishi;
-Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;
- Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwaajili yangu. Furahini na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa sana mbinguni.

-Je sisi tupo kamili?

No comments:

WATEMBELEAJI