Friday, January 28, 2011

WATALII WATAMANI MIHOGO YA KUCHOMA ZANZIBAR.

Baadhi ya Watalii kutoka nchi za Ulaya wakipata maelezo kutoka kwa mchuuzi wa mihogo ya kuchoma kuhusu chakula hicho, wakati walipopita kwenye mtaa wa Mchambawima mjini Zanzibar leo mchana, wakiwa katika matembezi ya kujionea sehemu mbalimbali za kihistoria za mji mkongwe.

-Picha na Matin Kabemba.

No comments:

WATEMBELEAJI