Saturday, February 5, 2011

ANNA NA MWANAE NATASHA....HUKO WELSBERG - MONGUELFO!

Sanamu zilizojengwa kwa barafu(Theruji)....safi sana hii!
Picha nzuri nimezipenda sana, nilitumiwa na rafiki mama Anna, pichani hapo juu, ambaye yeye na mmewe Peter waliishi sana Miyuji - Dodoma - Tanzania, kwa kazi mbalimbali za maendeleo ya Jamii hasa kwa uchimbaji wa visima vya maji ya kunywa. Wana watoto wawili wote walizaliwa Tanzania, nimeenda mara nyingi kuwatembelea huko kwao Welsberg - Monguelfo karibu na Austria. Maana wanakumbuka sana Tanzania na wakiona mtanzania ni furaha sana kwako. Nilifanya nao kazi Dodoma miaka ya hapo nyuma, ni familia ambayo Dodoma wanakumbukwa sana kwa wema wao na kazi walizo zifanya.

No comments:

WATEMBELEAJI