Saturday, February 5, 2011

KALENDA YA MARAFIKI NA BIRTHDAY ZAO...KUTOKA KWA RAFIKI!

Rafiki Arianna kapata uvumbuzi wa kutengeneza kalenda ya marafiki zake wote na kuweka kila mmoja kwenye siku yake ya kuzaliwa, katika tarehe zao. Nami kaniweka katika kundi hilo; nikiwa namba 5 ya Februari. Rafiki yangu mpendwa sana Cappo akiwa anaongoza namba 1 ya Februari.

No comments:

WATEMBELEAJI