Kama angelikuwa kafunga mkanda naamini asinge chomoka hivi mpaka chini, jamani tujitahidi kufunga mikanda kwenye magari yetu wakati tunasafiri. Ni mhimu sana, pia mikanda inaokoa sana maisha yetu!
Post a Comment
No comments:
Post a Comment