WAZIRI MKUU MH.PINDA AWASILI DODOMA KWA BUNGE!
Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali na vyama vya siasa na dini, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa mjini Dodoma, jana mchana...tayari kwa maandalizi ya kikao cha Bunge.-Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment