Thursday, February 3, 2011

INGEKUWA VIPI?!.....MZUNGU MMASAI KAZI KWELI KWELI!!

Mmasai wa Ulaya ndani ya Jiji la Mbeya. Kumbe wanapenda kuiga hata wao vya kwetu???

- Picha kwa hisani ya Rashid Mkwinda.
Kutoka kwa Hamad Jr.Michuzi.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hii nimeipenda sana safi sana:-)

WATEMBELEAJI