Nyumbani kwa Malaika na Rogger.
Mnapo kutana Watanzania Ugaibuni ni furaha sana, tena ukizingatia mji huu wa Cesena ninapo kaa mimi......ni mimi peke yangu Mtanzania. Mara kwa mara Rogger huwa anakuja kukaa kwa muda, yeye ni mzaliwa wa Zanzibar, kaowa mke wa hapa Cesena, ambae ni Malaika mwanzilishi wa kituo cha watoto yatima cha Makalala Children's Home. Huwa nafurahi sana kipindi wanapo kuwepo hapa, maana ni company kubwa sana kwangu.
No comments:
Post a Comment