Kiongozi mmoja wa juu, nchi fulani alitembelea Hospitali ya wagonjwa wa akili. Alipofika humo alimuona mmoja wa wagonjwa hao akijikuna juu ya miwani, ikabidi amwambie kama jicho linamuwasha kwanini asivue miwani ili ajikune vizuri??
Naye mgonjwa huyo akamjibu kwa kumuuliza; Je wewe unapowashwa na makalio yako huwa unavua suruali kujikuna??
- Kazi kweli kweli....!!!!!! Usithubutu kuuliza uliza maswali vichaa, la sivyo majibu yake ndo kama haya!
No comments:
Post a Comment