Muungwana mmoja ameuliza; hivi kuna ulazima sana wa Wakuu karibu wote wa Nchi (kama vile Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Majeshi, Ispekta General wa Polisi, Mkuu wa Mkoa nk.) kwenda kumpokea Rais kila anapokuwa anarejea kutoka safari za nje ya Nchi??
Nimeona niulete huu mjadala hapa kwa sababu naamini kuna wataalamu wa Protocol ambao huingia humu au kupekua kurasa hizi, ambao wanaweza kusaidia kupata majibu. Wakiamua kubania majibu itakuwa ni kuendeleza tu! zile sera zetu za ''Don't Ask, Don't Question, Just do it, It's nothing Personal bali kuelimishana tu!
-Hii nimekutana nayo ndani ya BONGO CELEBRITY, nami nimeamua kuileta hapa.
Karibuni sana...!!!!
No comments:
Post a Comment