Thursday, February 17, 2011

MVUA ZA DODOMA HIZI....ZIKIAMUA KWELI NI KIBOKO.


Nakumbuka mara ya mwisho nilivyo safiri kutoka Dodoma kuja Dar....Januari 8/2011, ilikuwa patashika njiani. Mvua zilinyesha sana mpaka barabara ikawa ya kutafuta, kutoka Kibaigwa hadi Gairo ilikuwa ni shida sana, lakini Mungu alinisaidia nilivuka salama. Zikiamua huwa zinakandamizia haswa, lakini pia zikiamua kugoma mpaka sala zifanyike hapo.

No comments:

WATEMBELEAJI