Thursday, March 17, 2011

BAADA YA KAZI NZITO KUPUMZIKA NA KUCHEKA NI MUHIMU!

Hapa ni mapumziko katika uchimbaji kisima cha maji....huko Itigi - Manyoni - Tanzania. Huwa kunakuwa na muda pia wa kupumzika baada ya kazi nzito sana kama hii, huwa ni kucheka sana maana kuna mzee Jeremia aka Banko katika uchimbaji huu, anayehusika na upimaji maji kama ni salama kwa kunywa, huwa anachekesha sana na vituko kwa wingi. Ni muhimu pia kucheka katika kazi, la sivyo kazi zinakuwa ngumu zaidi na zaidi.

No comments:

WATEMBELEAJI