Watoto ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja, wakiuza miche ya miti wakati ambao walipaswa wawe shuleni.
-Wazazi, walezi na sisi sote wana Jamii, tuwe makini na maswala kama haya....hata kama ni hali ngumu ya kimaisha, lakini isiwe sababu ya kuwafanya watoto wetu waache kwenda shule... ambapo ni haki yao kabisa! na wafuate biashara. Tabia hizi zikomeshwe kabisa!
-Picha na Nathnaiel Limu.
No comments:
Post a Comment