Friday, March 18, 2011

BUSH aka.. KICHAKA VIPI TENA HAPA?...MBONA HUELEWEKI?

Aliyekuwa Rais wa Marekani awamu iliyopita Mh.Bush, siku alipopata kigugumizi cha kutokuweza kuongea. Mzee KICHAKA, vipi tena hapa?

Kazi kweli kweli....!!!!!

1 comment:

ANGELA said...

MMMM KUNA KITU HAPA LOL HADI BUSH KASHINDWA KUONGEA WAKATI YEYE AKIONGEA NI FASTER KAMALIZA HOTUBA YA DK 20 YEYE KWAKE NI DK 10 TUU KWAHERI.

WATEMBELEAJI