Thursday, March 10, 2011

KAZI YAKO NI JINA LAKO - NDANI YA UCHIMBAJI VISIMA!











Kazi ya kuchimba visima huko Itigi - Manyoni. Januari 2011.





Baada ya kisima cha kwanza kuisha, na kupatikana maji kwa wingi....kazi iliyoendelea ni kusafisha kisima kwa kutumia kompresa.

1 comment:

Anonymous said...

NAWAONA NDANI YA MASHINE NZITO, NDO KAZI HIYO INABIDI SIKU UKIJA BONGO NAMI NIKAPIGE KAZI SIJUI NITAWEZA LOL HA HA HA HA HA

WATEMBELEAJI