Mazingira yapo tofauti sana.
Picha moja mkazi wa Kata ya Majohe Kichangani eneo la Pugu Jijini Dar es salaam, Emmy Joseph...akichota maji katika kisima kilichonusurika na milipuko wa mabomu kutoka katika kambi ya Jeshi Gongo la mboto. Na picha nyingine ni Jimbo la Ubungo, hapo mambo mswano duu....tenki kubwa la juu maji kwa bomba tu!
Kweli Bongo tambarare kwa watu na watu.
- Picha kutoka kwa Mzee wa Lukwangule.
No comments:
Post a Comment