KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA TUMSHUKURU SANA MUNGU KWA KILA SEKUNDE NA PIA SIYO KWAMBA WALE WALIOKUMBWA NA MAJANGA BASI MUNGU HAYUPO NAO HAPANA ILA NI MCHAKATO TUU WA MAISHA AMBAO MUNGU MWENYEWE AMEAMUA JUU YAKO.
TENA HUYU MTOTO ANA FURAHA SANA NAMWONA HAPO AKICHEZA NA RAFIKI YAKE LOL MWANANGU ENDELEA HIVO SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NAKUTAKIA KILA LA KHERI MTOTO MZURI. I WISH UNGEKUWA UNAJUA LUGHA NAYOTUMIA HAPA NA MTEMBELEA BLOG HII ILA NDO HIVO KILA LA KHERI
1 comment:

Post a Comment