Tuesday, March 8, 2011

WAZIRI MKUU PINDA...AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KAGERA!

Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, akizindua Private Ward katika Hospital teule ya Wilaya ya Ngara, Mkoani Kagera.... akiwa katika ziara ya Mkoa huo. Kushoto ni Askofu wa Jimbo la Rulenge, Rev.Severene Niwemugizi.

Waziri Mkuu, akisalimiana na Masista baada ya kuwasili kwenye Hospitali ya Wilaya ya Biharamuro, kuzindua Private Ward.


Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Severene Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge, na watawa wa Jimbo hilo baada ya kufungua shule ya Sekondari ya Mtakatifu Clara iliyopo eneo la Rukaragata - Biharamulo.




Baadhi ya wananchi wa Biharamulo wakiwa wamejipanga mstari kumwuliza maswali Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo Biharamulo, jana. Waziri Mkuu akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kagera.



No comments:

WATEMBELEAJI