Monday, May 23, 2011

KWA MARA NYINGINE TENA....NDANI YA MITAA YA TEGETA!



Ni furaha ilioje kufika tena nyumbani Tanzania...hasa mitaa hii ya Tegeta - Dar es salaam, huwa naikatisha sana maana ndipo nilipo kulia, nikikumbuka kwa mara ya kwanza kufika Tegeta mwaka 1985 nikitokea Bara-Kijijini kwangu, kulikuwa na nyumba chache sana, pori la mikorosho na miembe ndo ilikuwa imetawala sana. Sasa ni mjini haswa mpaka siamini na kupotea kumo. Hata kama ni muda mfupi nilikuwa hapa mwezi wa January, lakini ni furaha sana tena sana kukanyaga aridhi ya nyumbani!

Karibuni Tegeta!



No comments:

WATEMBELEAJI