SIKU HIZI BARABARA ZIMEIMARIKA KWELI...SEHEMU MABALIMBALI!
Picha ya Singida vijijini, hapa muda si mrefu sana uliyopita....ulikuwa ukipita hapa kwa mbinde sana kutokana na ubovu wa barabara, sasa hewala mambo shwari kabisa mkeka tu! Barabara ni mhimu sana katika nchi huleta pia maendeleo mengi.- Picha hii na Mjengwa.
No comments:
Post a Comment