Monday, May 30, 2011

SAFARI NA BAISKELI HUKO VIJIJINI...USAFIRI MKUU NDIO HUU!



Huko vijijini usafiri mkuu ni baiskeli, hakuna cha daladala wala bodaboda...unalazimika kupiga safari kama hivi.


BICYCLE AS TAXI. UPO HAPO?

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ni usafiri mzuri na rahisi...huu ndio usafiri wangu huhitaji kusubiri subiri na kubanana banana!!!

WATEMBELEAJI