Tenki dogo hilo lionekanalo mbele ya Kontena.....ni bafu yetu kwa kuoga, pia kwa kunywa maji na matumizi mbalimbali. Maana vijiji vingine hakuna kabisa maji, mpaka tuyapate sisi kazi ipo...wakati mwingine huwa tunaishiwa kabisa maji, hapo ndipo NO kuoga kwa siku kadhaa wa kadha, kazi hii ngumu sana....lakini inaumuhimu wake sana unapoifanya unafarikija sana kuona unatoa mchango wako mkubwa kusaidia watu wengi katika shida ya maji.
No comments:
Post a Comment