Wednesday, June 22, 2011

KONTENA YA UZIMA HII...KATIKA UCHIMBAJI WETU!





















Hili ni Kontena la uzima tunaliita hivi. Maana lina kila kitu; vifaa vya uchimbaji visima vya maji, vyakula, vitanda nk.....na fujo mbalimbali, kila tuendapo lazima liwepo kontena hili la uzima wetu. Mara nyingi sana nimelala humu ndani, pia kuliendesha hili kontena na Lori. Kwakweli ni ukombozi mkubwa sana hili trela lenye Kontena hili, kwa shughuli zetu za vijijini.









No comments:

WATEMBELEAJI