Thursday, June 30, 2011

KWAHERI BONGO - TANZANIA.

Wakati nikisindikizwa Airport Dar es salaam, Baba yangu mdogo Fabiani (mwenye tai) na wadogo zangu Reggie na Gervas.

Kwaheri ya kuonana Tanzania yangu!


- Nimewasili salama salimini, kuanza tena upya maisha ya Ugaibuni ya stress nyingi....lakini basi yote maisha tu.

Nimekutana na maoni na maombi mengi hapa katika mtandao, nikitulia naahidi nitawajibuni tu hamna shida tupo pamoja daima. Kama mdau wangu aliyeomba anataka kunifahamu kwa ukaribu na familia yangu natoka wapi, jibu lako lipo mdau utapata tu. Goja kwanza nitulie kidogo.



No comments:

WATEMBELEAJI