Thursday, June 23, 2011

MSAMALIA MWEMA.....

Msamalia mwema....akiwavusha barabara Wanafunzi wa chekechea na shule ya Msingi, eneo la Tandika Vetenari mjini Dar es salaam. Eneo hili linahitaji kuwekewa alama ya kivuko ili kuepusha ajali zisizo za lazima kwa watoto hawa.

No comments:

WATEMBELEAJI