Thursday, June 23, 2011

REKODI ZA UKOO ZA KWAKO NI ZIPI?

Inachekesha lakini hii kitu ipo sana.....unakuta kuna mtu anaheshimika mno kwenye Ukoo wao, ukiuliza unapata majibu very interesting; Mimi huwa naita kuweka Rekodi kwenye Ukoo...lol!! Utakuta mtu anaheshimika sana kwa kuwa kwenye Ukoo wake yeye alikuwa;

1). Wa kwanza kufika Dar es salaam.

2). Kufika Chuo Kikuu.

3). Kwenda Ulaya.

4). Kupanda ndege....na kadhalika!


Swali hili je wewe Mdau kwenye Ukoo wenu una Rekodi gani unashikiria? Lol....msione aibu hebu mje share na sisi hapa! Ongeeni (Fungukeni)....!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI