Ndani ya Workshop panga za kukata upepo angani zikiandaliwa, tayari kwa kwenda kufungwa angani, akina dada kutoka Canada wakiweka urembo wao kwa kuandika madoido kama kumbukumbu yao. Kwa kawaida sisi huwa tunafunga tu!
Panga zimefika kijijini tayari kwa kufugwa angani, ili ziweze kuzungusha mashine (Injini) kwa kupampu maji kisimani.
No comments:
Post a Comment