Picha hii nimepiga Dar es salaam, kuangalia pia hawa wenzetu wanaofanya kazi juu sana bila kuwa na usalama wowote, hawa ni kwaajili ya kuweka matangazo mbalimbali ya kibiashara. Sisi ni kujenga Pampu za maji kwa kutumia upepo (Windmill). Sisi ikitokea shida umeanguka na kupoteza uhai wako inaeleweka kwajili ya kusaidia watu katika shida sana ya maji....je hawa wenzetu?
No comments:
Post a Comment