Sunday, July 10, 2011

FURAHA YA KUTEMBELEWA NA MTANZANIA MWENZANGU.








Leo nimepata mgeni, kutoka Ascoli Piceno-Italy. Kijana Mark Mushi...ambaye alikuja kunitembelea ili tufahamiane, kwakweli ni furaha sana kufahamiana huku ugenini...hasa ukifikiria umbali uliopo hapa mpaka Tanzania, pia ukichukulia hapa Cesena ni Mtanzania pekee mimi tu! Huku ugenini tunakuwa kama ndugu kabisa. Ni furaha sana, na asante sana Mark kwa kunitembelea kwako na karibu sana Cesena!




No comments:

WATEMBELEAJI