Sunday, July 10, 2011

HONGERA SANA KWA WAMISSIONARI WAPYA WA CPPS.

Hongera sana kwa kupadrishwa - wamissionari wapya wa Shirika la Damu Takatifu ya Yesu, CPPS - Tanzania. Padri Epitasy Makala na mwenzake Padri Nestory Kadyoshe. Tunawatakieni uchungaji mwema!

Hapa Waseminaristi wa CPPS, wakitumbwiza katika sherehe za upadrisho, wakiburudisha kwa ngoma tamu na nzuri ya muganda.








No comments:

WATEMBELEAJI