Friday, October 7, 2011

AFRIKA-ASIA...ZAUNGANA KUSOMESHA WANAWAKE.

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda, akihutubia mkutano wa Afrika-Asia 2011, leo ambapo amesisitiza elimu yenye maadili ndio njia pekee ya kumkomboa mwanamke pamoja na Jamii kwa ujumla. Mkutano huo umeandaliwa na Chuo Kikuu cha wanawake cha Sookmyung nchini Korea kusini, ambacho kimetimiza miaka 105 tangu kianzishwe 1906.


Wahadhiri wa vyuo vikuu, wawakilishi kutika nchi 12 za Asia na Afrika; (Korea, Tanzania, Bukina Faso, China, Vietinam, Uganda, Nigeria, Senegal, Kyrgstam, Cambodia, Pakistan na Philippine). Pamoja na wanafunzi wa Sookmyung wakimsikiliza kwa makini Spika Makinda.


Salma Dinya, ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St.John-Dodoma....ambaye alialikwa kwenye Mkutano huo kuiwakilisha Tanzania, kama kiongozi kijana. Hapa anatoa mada kwa wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Asia na Afrika...kuhusu Tanzania.



- Picha na Mkuu Prosper Minja wa Bunge.

Au unaweza kumtembelea hapa;


No comments:

WATEMBELEAJI