Saturday, October 8, 2011

MAMBO YA DUNIA....VITUKO TUPU NA NI AIBU KWA JAMII.

Mambo ya dunia hii ya sasa ya Utandawazi, ni vituko tupu aibu hata kuyasimulia....mafundisho gani kwa Jamii na vizazi vyetu? Ni harusi gani hizi za aibu eti ndoa ya jinsia moja, sasa ni gharika ya Nuhu ni hakika itarudi tena. Nimeshuhudia leo wanaume wawili wakioana jamani!!!! ni aibu sana; maadili gani haya? Mpaka kichwa changu kilipatwa na kizunguzungu kabisa!
Imehalalishwa wapi jamani? limetoka wapi andiko, enyi makasisi tuelezeni....ni aibu kweli kweli!
Thamani ya Utu wetu Wanadamu....tazameni ni matendo gani haya yanayo ishusha heshima yetu sisi Wanadamu.

No comments:

WATEMBELEAJI