Mashindano haya ni hatari sana kwa maisha....yamesababisha mpaka mauti yamemkuta kijana Marco Simoncelli. Ajali hii kwenye video hii, hakuna aliyeumia....lakini onaona hatari yake ilivyo.
Post a Comment
No comments:
Post a Comment