Wednesday, October 26, 2011

MYAHUDI MMOJA NI SAWA NA WAPALESTINA 1000!

Mmeona jinsi Israel inavyojali watu wake? ipo tayari kuwaachia mateka 1000 wa Kipalestina in exchange to one Myahudi........ingekuwa Bongo mtu angekufa na wala hakuna ambaye angefuatilia hata kujua maiti yake ipo wapi; Hongera sana Israel kwa kujali raia wako.

No comments:

WATEMBELEAJI