Monday, October 17, 2011

JANA JUMAPILI KATIKA MECHI YA SERIE A. CESENA - FIORENTINA. 0-0.



Uwanjani Cesena jana Jumapili katika mpambano na Timu ya Fiorentina, kushabikia Timu yetu ya Mji wa Cesena. AC:CESENA. Bado tuna hali ngumu sana kwani katika Ligi hii ya Italy Serie A, sisi ndo tumeshika mkia wa ligi...lakini mpaka mwisho wa mwisho tupo pamoja tu na Ac.Cesena....Forza Cesena!



No comments:

WATEMBELEAJI