Monday, October 17, 2011

KAMPENI YA KUPANDA MITI, MAUA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM.

Miti na maua katika barabara ya Bibi Titi Road, Jijini Dar es salaam.....inathibitisha kwamba penye nia pana njia. Baada ya kupandwa na kutunzwa vyema, miti na maua yameupendezesha vilivyo mtaa huu maarufu. Kilichobaki ni kuendeleza libeneke hili mitaa yote na kila mahali Jijini.

- Picha na Mkuu Issa Michuzi.



No comments:

WATEMBELEAJI