Monday, October 17, 2011

TAHADHALI KABLA YA HATARI JAMANI........!!!!!

Wafanyabiashara wadogo (Wamachinga) wakifanya biashara zao karibu kabisa na mitambo ya kusambaza umeme Ubungo - Jijini Dar es salaam.
Hii ni hatari sana tena sana kwa afya na maisha kwa ujumla.


- Picha na Mkuu Issa Michuzi.

No comments:

WATEMBELEAJI