Kaburi la hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Butiama - Musoma. Tunakukumbuka sana Baba yetu wewe ndiye mkombozi wetu Tanzania.....hasa tunapojiandaa kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wetu....Utakumbukwa daima Baba, kwa kazi nzuri uliyoifanya kutuletea Uhuru wa nchi yetu nzuri Tanzania.
Wanakwaya wakichukua Video yao mbele ya Kaburi la muasisi wetu mpendwa sana Mwalimu Julius Nyerere.
Wanakwaya wakizunguka katika mazingira ya nyumba ya Baba wa Taifa letu. Huko kijijini Mwitongo- Butiama.
No comments:
Post a Comment