Wednesday, October 19, 2011

MKAKATI WA KUPAMBANA NA BAA LA UKIMWI TANZANIA.

Wanadamu tunapaswa kuishi kimaadili kwa kuzingatia; Amri na maagizo ya Mwenyezi Mungu pamoja na utu wema...kama njia ya kupambana fika na maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi, nchini Tanzania na dunia kwa ujumla.
Wanadamu tunapaswa kutokuwa na mashaka na wasiwasi katika kukabiliana na tatizo la maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi kwani hakuna kinachoshindikana kwa Mwenyezi Mungu hivyo; ni muda muafaka kila binadamu kwa imani yake kuishi kwa kuzingatia misingi ya maadili na Utu wema.
Makala hii inalenga zaidi swala hili na kuhakikisha kwamba; tunamkomboa mwanadamu dhidi ya maambukizi ya ukimwi hasa ikizingatiwa ya kuwa watu wengi wanaendelea kufa kutokana na ugonjwa wa Ukimwi.

No comments:

WATEMBELEAJI