MARAFIKI ZANGU ITALY.....WAKITUSALIMU SANA WADAU WOTE!
Hapa ni; Sara na Daniela....wakiwa Dar es salaam, hata mimi siku hii nilikuwepo nao katika kufurahi kidogo.
Sara na watoto wenye kuhitaji msaada huko Romania.....sio tu Tanzania tunao hitaji msaada, bali ni sehemu nyingi duniani.
Sara kwa raha zake.- Sara na Daniela, ni marafiki zangu wa karibu sana na wanaopenda sana Tanzania...hata kufikia uamzi wao kuchangua Ubalozi wa Italy - Tanzania, kuja kufanya mazoezi yao. mwaka huu mwezi wa 6 walikuwa Ubalozi wa Italy - Tanzania katika mazoezi yao, katika masomo yao ya vyuo kusomea wana diplomasia.
No comments:
Post a Comment