Friday, October 28, 2011

VIONGOZI JIFUNGENI KIBWEBWE KUWATUMIKIA WANANCHI WENU!

Tunawaalika viongozi wetu wa kisiasa kujifunga kibwebwe ili kuwatumikia Watanzania kwa njia ya Unyenyekevu, misingi ya maadili na kanuni za uongozi. Pia viongozi wa kidini wanaweza kushirikiana kutoa majiundo endelevu kwa wanasiasa katika nyaja za maadili ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao barabara.

- Mimi binafsi huwa simlaumu kiongozi yoyote....ila tu kwakweli hali yetu si nzuri ya ki maisha, Watanzania wanahangaika sana kwasasa hasa vijijini....tuwe tunatembelea vijijini mara moja moja tuone ukweli ulivyo jamani!

No comments:

WATEMBELEAJI