Monday, November 14, 2011

ADHA YA UMASKINI: MUME AMBEBA MKEWE KUMPELEKA HOSP!




Umaskini ni gharama isiyoelezeka, jamaa huyu ambaye jina lake halikupatikana....akiwa mtaa wa Nunge, Manispaa ya Morogoro....akiwa amembeba mkewe mgongonia akimpeleka Hospitali baada ya kuugua na kushindwa kutembea.Umaskini ni gharama...watu waliomshuhudia walionekana kushikwa na simanzi sana, lakini wao maskini pia....walishindwa kumpa msaada wowote.


- Picha na Habari na Dunstan Shekidele - Morogoro.


No comments:

WATEMBELEAJI