Uvuvi ni moja ya vitu ambavyo huwapatia Watanzania walio wengi kipato na kuweza kuyamudu maisha yao ya kila siku, katika maeneo mengi ya nchi ambayo ina mito, mabwawa, maziwa na bahari. Miongoni mwa Mikoa ambayo imejaliwa kuwa na mabwawa makubwa na mito mingi ni Mkoa wa Morogoro.
Mkoa huu una mabwawa maarufu sana kama vile Mindu lililopo kando kando ya barabara kuu ya Morogoro - Iringa - Mbeya hadi Zambia.
- Picha kwa hisani ya Mkuu Father Kidevu.
No comments:
Post a Comment