Monday, November 28, 2011

BARABARA YA ARUSHA - KARATU....YAKATIKA!























Usafiri katika barabara ya Karatu - Arusha, umesimama kutokana na Mto Kirurumo kupasuka, barabara na majabali yake kuyatandaza kutokana na mvu kubwa zinazo endelea kunyesha kwa fujo katika Milima ya Mbulu na Karatu.

Kutokana na adha hii wasafiri na watalii wamekwama kwa muda usiojulikana.....japo Serikali imeahidi kurejesha hali katika kipindi cha masaa 48 yajayo.


- Picha na Prisca Libaga.







No comments:

WATEMBELEAJI