Wednesday, November 9, 2011

CHEKA KIMTINDO HAPA.....!

Jamaa aliingia kwenye daladala, akakutana na dada mmoja.....mazungumzo yalikuwa hivi;


JAMAA; Samahani dada, eti wewe unaitwa Google?

DADA; Hapana....!! mbona umedhania hivyo?

JAMAA; Kwasababu una kila kitu ninachotafuta.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

MWEEE! KAAAZIII KWELIKWELI...

WATEMBELEAJI