Wednesday, November 9, 2011

HAPA HUNIBANDUI.....NI BORA UNINYIME CHAKULA TU!

KARIBUNI CHAI WAPENDWA!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Watu weweeeeeeee! ila hapo sasa umeharibu kwa hiyo KAHAWA kakangu ingekuwa chai ya rangi hapo tungekuwa wawili ambao hakuna asingeweza kutubandua:-)

Baraka Chibiriti said...

Hata chai, mimi ni mpenzi sana tena sana tu. Ila mara moja moja kahawa pia, kwaajili ya kutosinzia kazini. Au ninapoendesha gari kwa kusafiri kwa muda mrefu, safari ndefu.

WATEMBELEAJI