Wednesday, November 30, 2011

HATARI HII KWA WANAFUNZI HAWA!

Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Pugu Mwakanga, wakipita kwenye reli wakati wakitoka shule.......Jijini Dar es salaam, kitendo kinachoweza kuhatarisha maisha yao, elimu inapaswa kutolewa ili kudhibiti tabia hii kabla ya madhara kutokea. Haya wahusika chukueni hatua sasa kwa swala hili ili kuokoa ajali zisizo za lazima.

No comments:

WATEMBELEAJI