Wednesday, November 30, 2011

MJOMBA WANGU......JUSTINA!



Siku nilipoenda kumtembelea Mgeni mpya, aliyekuja kuwa nasi katika dunia hii si mwingine Mjomba Justina.....ni furaha sana! Karibu nasi mjomba Justina. Ni mtoto wa mdogo wangu wa kike ninayemwachia kuzaliwa. Siku alipojifungua bahati nzuri nilikuwa ndo nimefika tu kutoka safari ya Italy - Tanzania, nikakutana na habari hii njema...ndipo nilipoenda mara moja huko hospitalini Bweni kumwona mgeni na kuwajulia hali wote wawili.



No comments:

WATEMBELEAJI