Tuesday, November 29, 2011

KANISA KATOLIKI JIMBO LA BUKOBA - TANZANIA.

Kanisa Kuu la Bikira Maria wa huruma ( Madre di misericordia) la Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba ( Cathedral). Likimalizika kujengwa, marehemu Mwadhama Laurian Kardinali Rugambwa atazikwa hapa.....akiamishwa kutoka Kashozi, alikozikwa kwa muda tangu mwaka 1997. Ujenzi huu unatarajiwa kumalizika hivi karibuni.

Hili ni jengo la ghorofa mbili, Ofisi za Kanisa Katoliki Bukoba, pembezoni mwa Kanisa lenyewe. Ndipo Ofisi ya aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, aliyehamishiwa huku Bukoba, Askofu Methodius Kilaini.


- Picha na Mdau wa Mjengwablog - Bukoba.



No comments:

WATEMBELEAJI